Nyumbani

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ni Shirika la Umma lililoundwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Sheria Na.12 ya Mwaka 1967 na Marekebisho yake Na. 6 ya 1971 ya Baraza la Michezo la Taifa. Baraza la Michezo la Taifa limepewa jukumu la kusimamia michezo yote  Tanzania.

 

Kaimu Kaitbu Mtendaji wa BMT, Neema Msitha
Kaimu Kaitbu Mtendaji wa BMT, Neema Msitha

Mwenyekiti wa Bodi Barza la Michezo la Taifa Mr. Leodegar Tenga
Mwenyekiti wa Bodi Baraza la Michezo la Taifa Mr. Leodegar Tenga

>

“DIRA”

Kuwa na Taifa lenye watu wenye Afya, wakakamavu na ufanisi kwenye michezo kwa maendeleo ya jamii, umoja na taifa

“DHAMIRA”

Kutoa fulsa sawa ya ushiriki kwa watu wote katika michezo ili kuongeza ufanisi”

MAJUKUMU YA BARAZA LA MICHEZO LA TAIFA

 • Kuendeleza, kustawisha na kudhibiti aina zote za Michezo kitaifa kwa ushirikiano na vyama au vikundi vya michezo
 • Kuhimiza na kutoa fursa za ushirikiano miongoni mwa vyama mbalimbali vya Taifa.
 • Kuidhinisha mashindano ya kitaifa na ya kimataifa katika michezo na matamasha yaliyoandaliwa na vyama vya kitaifa na vyama vingine.
 • Kupanga kwa kushirikiana na serikali za mitaa kwa ajili ya kutenga maeneo kwa ajili ya michezo.
 • Kuhamasisha ushiriki wa jamii katika michezo.
 • Kupanga na kuishauri Wizara yenye dhamana ya Michezo juu sera ya ukuzaji wa michezo nchini.

 

HISTORIA YA WENYEVITI WA BARAZA LA MICHEZO LA TAIFA (BMT) TANGU 1967 HADI SASA

 

 

 1. George Mwaipopo                      1967    HADI  1969
 2. Balozi Jumaa Maggidi               1969    HADI  1973
 3. Dominiki Hangi                          1973    HADI  1974
 4. Mustafa S. Nyang’anyi (MB)  1974    HADI  1977
 5. Joseph J. Mungai (MB)            1977    HADI  1982
 6. Omari Muhaji                              1982   HADI 1986
 7. Hamza Kasongo                          1986   HADI  1989
 8. Gen. Makame Rashid                1989   HADI  1992
 9. Gen. Mosses Nnauye                  1992   HADI 1995
 10. Saidi El-Maamry                          1995   HADI 2000
 11. T. Ulimwengu                                2000  HADI 2001
 12. Joel N. Bendera                            2001  HADI 2006
 13. Iddi. O. Kipingu                            2006 HADI 2012
 14. Deoniz Malinzi                              2012   HADI 2017

HISTORIA YA MAKATIBU WAKUU WA BARAZA LA MICHEZO (BMT) TANGU 1967 HADI SASA

 1. Kiiza Kagirwa Lwambura          1967   HADI  1967
 2. Salim Shariff Dossi                      1967   HADI  1973
 3. Paul Daniel Massanja                  1973    HADI 1974
 4. Victor Elisante Safiel Mkodo    1974    HADI 1984
 5. Ali Bosha Ng’itu                              1984    HADI  1985
 6. Rick Wilson Kirimbai                   1985    HADI 1989
 7. Michael Gaspar Mgonzo              1989    HADI 1991
 8. Alhaji Mohamed K.Lutta             1991      HADI 2000
 9. Ernest Brighton Mlinda               2000    HADI 2002
 10. Leonard Thadeo                              2002    HADI 2008
 11. Henry S. J. Lihaya                           2009    HADI 2016
 12. Mohamed S. Kiganja                      2016       HADI 2018
 13. Makoye Alex  Nkenyenge           2018  HADI 2019
 14. Neema Msitha                              2019  HADI    SASA

683 total views, 5 views today

Follow by Email4
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/mwanzo/">
RSS