Anita White Foundation

AWF Logo

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kwa niaba ya Serikali ya Tanzania limekuwa likishirikiana na wadau na washirika wa maendeleo mbalimbali katika kuleta mafanikio ya sekta ya michezo nchini.

Moja kati ya juhudi hizi ni mradi wa kuhamasisha na kushirikisha Wasichana na wanawake kwa ujumla katika Uongozi kupitia Michezo ambao kwa kifupi unajulikana kama AWF Tanzania.

Mradi huu unatekelezwa kwa ushirikiano wa BMT na Ainta White Foundation (AWF) kupitia UK Sport. Kwa taarifa zaidi soma “newsletter” ya mradi huu iliyoambatishwa hapa

Kufahanu zaidi shuguli zake kwa ujumla bofya hapa.

Kwa habari za maendeleo ya miradi mfadhili huyu hapa Tanzania. Bofya Hapa

 

100 total views, 1 views today

Follow by Email5
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/washirika/kimataifa-international/anita-white-foundation/">
RSS